Common.Elements.Image.Internal

Uko Busy Na kitambi Kinakuelemea…

Una Hatua Moja Tu Kuingia Kwenye Programu Itakayopukutisha Hicho Kitambi

na Unene... kupungua hadi kilo 19 ndani ya siku 49. UHAKIKA 100%.

Na Uzuri ni Kwamba

LAZIMA Upate Matokeo - Kwani Usipopungua, Hatulipwi Na Tutakusaidia Bure

kwa Miezi 6 Mpaka Upate Matokeo.

_________________________________

Hatua ya Kwanza: Angalia Video Fupi 👇

Hatua ya Pili: Chagua AINA ya Huduma Kulingana na Mahitaji yako.


Zipo AINA 2 za Huduma...


Chagua Huduma Kulingana na Mahitaji yako... 👇


1. Programu ya Kupungua kwa Njia Ya Group 👍

Bofya Hapa KUJIUNGA Kwenye Programu ya Group Sasa Hivi

2. Usimamizi PRIVATE - VIP - peke yako 🙌

Bofya HApa Kujaza Fomu Na Kuomba Usimamizi wa PRIVATE

Na Hiki Ndicho Utapata Kwenye Programu 👇

Kwanini watu wengi hawapungui uzito

Wengi mmekubali kuhadaika na kutumia dawa na supplements badala ya kutibu kiini cha tatizo.

Njia rahisi kupungua uzito

Tunakusaidia kubadili lifestyle na namna ya ulaji na automatically mwili wako utapungua wenyewe bila kuulazimisha.


Jinsi Programu yetu inatoa matokeo ya uhakika

Baada ya kuwasaidia mamia ya watu kupungua uzito. Tuna mbinu za kipekee kuhakikisha unene unakuwa mwiko tena.


... Ili kupungua huhitaji kufanyishwa mazoezi magumu.


... Ili kupunguahuhitaji kutumia supplements na dawa za bei ghali.


... Wala huhitaji diet za nyonya damu.


Kitu pekee unachohitaji ni kuingia kwenye maisha mapya ambayo team yetu ya coaches itakusaidia kufikia.


Utapatiwa njia za kupungua uzito kwa urahisi na uhakika kuliko unavyoweza kutegemea.


Ni UHAKIKA 100%.


Hakuna janja janja kwenye kupungua uzito. Bila kuondoa chanzo cha tatizo, sahau kupungua.


Na Sisi programu yetu imeundwa kukupa matokeo kwa vyovyote vile kwani tuna wataalamu wenye uzoefu wa hali ya juu.


Na imethibitiswa maana ni mamia tayari wamenufaika na programu hii kwa kupata mwili wa ndoto zao.


Huu Ni Ushuhuda Tuliokusanya Kutoka kwa Wateja Wetu, ambao wote walikuja kama wewe tu... 


Shuhuda za 347+ ndani ya miezi 12 tu...

Latifa- Kilo 97-73

Winfrida - Kilo 106 - 76

Jennifer - Kilo 85 - 73

Hashim - Kilo 117 - 77

Jennifer - Kilo 93- 64

Asnath Kilo 97-70

Rehema - Kilo 84-68

Iddah - Kilo 97- 71

Elizabeth - Kilo 86-59

Hope - Kilo 85-62

_

Na Hiki Ndio Utapata Kwenye Program:

✔️Kupunguza uzito kwa Formula Maalum ya siri ya kukusaidia kuondoa kiini cha tatizo.

✔️Utapata UANGALIZI WAKA KARIBU wa karibu wa Coach kila wiki/siku ili upungue kwa ufanisi.

✔️Utapatawa ratiba za chakula kwa mwaka mzima, uhakika wa kula vyema kila siku.

✔️Utakuwa kwenye Group Maalum kukusaidia kupata motivation ya pamoja.

✔️Utapata Mwongozo wa wa Mazoezi mepesi ya kufanya ukiwa nyumbani.

✔️Mpaka hapa utakuwa na uhakika wa kupngua na mwili kutokurudi tena.

✔️Utapata Miongozo zaidi 10 ya kiukusaidia, kula vyema, kupungua, na ku-maintain mwili wa afya.


Sasa ni wakati wako kutumia fursa hii na kuongea na mimi kwa simu ili kuianza safari yako ya kupungua.


Tunakuhakikishia KUPUNGUA hadi kio 19 ndani ya siku 49 tu.


Na huna risk yoyote, kwani usipopungua utarudishiwa fedha zako.


Na bado unakuwa na uhakika wa kupatiwa huduma kwa miezi 6 ijayo mpaka upungue.


So, huna risk kabisa.


Kumbuka mamia ya watu tuliowasaidia wote walikuwa kama wewe na walifika hapa na kuweka appointment ya kuongea na mimi.


Na hivyo ndivyo walikuja kutoa ushuhuda.


Kama unataka kuzaliwa upya na kuwa na mwili unaoonekana kama kijana mdogo, bila magonjwa, kupoteza mwonekano, kukosa kujiamini, na uchovu wa mara kwa mara.


Fanya Uchaguzi wako Sasa Hivi na Kuanza Safari yako ya UHURU bila unene na kitambi.


KUMBUKA:


1. Kupungua ya Group ni kwa kila mtu.


2. PRIVATE - Ni Maalum kwa mtu mmoja

Bofya Hapa 👇

Kuchagua Huduma yako...

Bofya Hapa KUJIUNGA Kwenye Propgramu ya Group Sasa Hivi
Bofya HApa Kujaza Fomu Na Kuomba Usimamizi wa PRIVATE

GetResponse